Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Sista  Flosy Sequeire, Mkuu wa 
Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Saint Francis ya Mbeya tuzo maalum ya
kutambua  ufalu mzuri wa wanafunzi wa shule  hiyo  wakati alipofungua 
 maadhimisho ya wiki ya Elimu kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma 
Mei 11, 2015. Wemgne kutoka kushoto ni  Waziri wa Elimu na Mafunzi ya 
Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri 
Mkuu, Tawala za Mikoa na Seriklai za Mitaa, Kassim Majaliwa, Mkuu wa 
mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa na Mbunge wa Viti Maalum, Margareth Sitta.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana naWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa DodomaMei 11, 2015  kwa ajili ya kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza
Mei 12, 2015.  Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa. 


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi pikipiki Mratibu wa Elimu wa Kata
ya Ibiwhwa wilayani Bahi, Jacob Mwakalambo ikiwa ni chombo cha 
kumwezesha kutekeleza majukumu yake katika maadhimisho ya wki ya elimu 
wenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo, Kulia ni Naibu 
waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za 
Mitaa, Kassim Majaliwa.