Beki wa kulia wa timu ya Antwerpen akijaribu kuikoa hatari langoni kwake wakati wa hekaheka zilizokuwa zikiletwa na mshambuliaji wa timu Mol  Jamal aliyekuwa chini kushoto.Antwerpen imefunga Mol katika uwanja wake wa nyumbani kwa goli 3-2
 Mchezaji wa Mol Fc Rasheed Richad akifunga goli kwa kichwa na kuisawazishia timu yake kwa goli la kwanza
 Mshambuliaji machachari wa timu ya Antwerpen ustadh wetu Kishiq akirudi uwanjani kwa furaha baada ya kuifungia timu yake ya Antwerpen  Mol goli la pili dhidi ya Mol Fc
Baada ya mechi kuisha timu zote zilipata picha ya pamoja kwa kuonyesha umoja, ushirikiano na upendo wao.mpaka mwisho wa mchezo Antwerpen Fc 3-2 Mol Fc.