KIJANA DAUDI MRINDOKO ACHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE MOSHI MJINI
Moshi Mjini Kumekucha Kijana Daudi Mrindoko achukua Fomu ya ubunge 2015 kwa tiketi ya CCM
Moshi,Kilimanjaro,
Kijana Daudi Mrindoko aliyekuwa anashawishiwa na wakazi wa jimbo la Moshi mjini kugombea ubunge wa jimbo hilo.,Siku ya ijumaa 17 Julai 2015 mshawishiwa huyo Daudi Mrindoko alifika ofisi ya CCM wilaya Moshi Mjini na kukabidhiwa fomu ya kugombea Ubunge kupitia ticketi ya CCM.
0 Comments