Kwa upande wa kina mama wakiwa makini kusikiliza Quran tukufu iliyokuwa ikisoma kwenye sherehe hizo hapo jana
Baadhi ya wageni waalikwa kwenye sherehe ya Eid hapo jana wakiendelea kusikiliza kinachojiri
Al ustadh maarufu jijini Antwerpen Viera akiendelea kutoa taratibu za shughuli |
Dada Ummy akiwa na ndugu yake wakisoma majina ya watoto walifaofanya vizuri katika masomo ya Quran Kwa picha zaidi gonga neno habari zaidi hapo chini |
Endele chini kwa picha zaidi....scoll down for pictures
TEAM MOL
MAGANGA ONE JUNIOR |
1 Comments
Watoto. Ninaimani Allah akituweka hai mwakani itashamiri zaidi. Allah Bariq