Diamond Platinumz akifanya yake ndani katika red carpet ya MTV Mama.
 DIAMOND PLATNUMZ ameibuka mshindi wa Best Live na kuwamwaga Mi Casa -South Africa, Flavour- Nigeria, Big Nuz -South Africa,Toofan- Togo