Diamond Platnumz ameamua kugawana na jamii mafanikio aliyoyapata, kwa sasa amefungua studio ambayo itawasaidia chipukizi wasiokuwa na uwezo waweze kurekodi nyimbo bure kabisa bila malipo yoyote.
Studio ya Wasafi Records
Studio ya Wasafi Records
Katika Mtandao wa Instagram Diamond ameandika “5 Talented Artists, have already recorded their Songs with free of charge, 3 Male and 2 female.. My aim is to see how i can help my fellow artists who are talented and still underground.. If you believe you are Talented, i mean a good singer then call this number and go record your Song for free +255674739353 ðŸŽ§..WASAFI RECORDS..🎧 (Vijana watano Mpaka sasa wamesharekodiwa, tena bure kabisa….Watatu Wanaume na Wawili wanaake… lengo na Madhumuni ni kuona ni namna gani tunaweza kusaidia Wasanii wenzetu ambao wanakipaji ila Bado hawajafanikiwa kutoka (Undergrounds)… kama unaamini kweli Unakipaji usiogope piga namba hii hapa sasa Ukarecord Nyimbo yako, tena Bure kabisa.. +255674739353
🎧..WASAFI RECORDS..🎧 )“.

Fursa ndio hii kwa chipukizi wote wanaotaka kutoka kimuziki na hawana uwezo wa kurekodi…Piga namba hizo hapo juu ili uweze kusaidia.