Mkutanowa Mkubwa watatu wa Kimataifa, unaojadili Ufadhili wa Maendeleo (FFD3) ,umeanza leo Jumatatu[jana] jijini Adds Ababa,Ethiopia.Ujumbe Tanzania katika mkutano huu ambaoutakafanyikakwasikutatu unaongozwa na Waziriwa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (pichani) akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Mhe. Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum atauhutubiamkutano huo siku ya Jumanne Julai 14, 2015. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA |
0 Comments