Katibu Tawala Msaidizi wa Huduma za Afya na Ustawi wa Jamii katika Sekretarieti ya Mkoa wa Kigoma, Dk Leonard Subi (wa pili kushoto) akipata maelezo kuhusu kifaa cha kuchunguza ubovu wa gari kutoka kwa askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani humo, Faustin Mushi wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama yaliyofanyika mkoani humo jana. (Picha na Fadhili Abdallah)
0 Comments