| Shekh Yussuf mwenye kofia ya manjano akifungua dua ya kumrehemu mama mzazi wa Ally Mohammed Mlangi {mwenye kanzu nyeupe} hapo jana kitongojini Mol nchini Ubelgiji. |
Kisomo cha kumrehemu mama wa Ally Mlangi kikiendelea huku kila mmoja akishiriki vyema katika dua
| Brother Joseph akishiriki vyema dua |
| Kitezo kikifuka moshi ni ishara njema kwamba dua inaendelea vyema.Ustadhi Vierra akiendeleza dua |
| Waungwana walioshiriki jana katika kisomo |
| Kikosi kazi kikiendelea kuomba dua hapo jana |
| Selle wa Leuven kulia na kamanda wa msitu mnene pia walishiriki vyema katika dua ya jana |
| Waungwana kutoka sehemu mbalimbali wakihitimisha dua ya mwisho |
| Mama Nasreen kushoto akiwa na dada Nasria wa Antwerpen wakipata dua |
| Dua ikiendelea huku Queen Rahma na mama yeke mama Sarah wakiendelea kuomba dua |
| Kwa upande wa kina mama nao walishiriki vyema katika dua ya kumrehemu mama wa Ally Mlangi,pichani ni mama Denzel mwenye mtandio mwekundu akiwa na mama yake Mrs Khalid |
| Naam dua ikiendelea huku pichani Katibu mkuu ndugu Mohammed Mwalimu mwenye jaketi la manjano,akifuatiwa na ndugu Ally Mlangi{muhusika mkuu wa kisomo} na ustadhi Vierra |
| Brother Gebo akishiriki dua ya kumrehemu mama yake mzazi na Ally aliyetangulia mbele za haki siku chache zilizopita |
| Brother Zile akishiriki dua na kijana wake pembeni |
| Mrs Maganga One [kushoto] akiwa na Mrs Hamza |
| Mmoja wa waliofika kwenye dua akiwa makini kabisa kusikiliza mawaidha |
| Queen Rahma na mama Saraha |
| Shekh Vierra akitoa mawaidha kuwakumbusha wanaadamu kuhusu suala la kifo huku wengine wakionyesha kuguswa kwa namna moja au nyingine |
| Waungwana wakisikiliza mawaidha kwa hisia kabisa |
| Mchezaji mkongwe wa timu ya Taifa ya Tanzania Kassim Manara akipata kumbukumbu baada ya dua |
| Mrs Moddy akisikiliza mawaidha yanayozunguzia kifo huku akionesha hisia zake |
| Queen la Antwerpen Rahma akiwa na mama yake mama Sarah |
| kutoka kushoto ni dada Ummy wa Antwerpen,Mrs Maganga One {katikati} na Mrs Hamza |
| Bidada Dida akiwasili ukumbini,kamera ikamnasa namna hii |
| Dida akiwa na mama yake na watoto wake |
| Pichani ni mama Mansoor,Mansoor na mama Tillah |
| Masha'Allah watoto wa Hamza nao walishiriki kwenye dua |
| Dada Khasser[Mrs Yussuf] kushoto akiwa na dada Sharon |
| Kamanda wa msitu mnene akibadilishana mawazo na dada yetu Khasser |
| Mama Mansoor akiwa na mtoto wake Msham mara baada ya kisomo |
| Mama Tillah pia alikuwepo |
| Taswira endelevu |
| Kitengo cha madikodiko kilidhibitiwa na Mbabe huyuu |
| Team Mol ikiwa makini kabisa kuhakikisha kila mmoja anapata huduma stahiki na kwa wakati |
| Sadak ikiendelea |
| Sadaka ikitolewa kwa upande wa kina mama |
| Mrs Dullah akipata sadak |
| Shekh Yusuf akitoa huduma ya Sadak |
| Mama Kauthar akipata sadak hapo jana |
| Kikosi kazi kikiwa tayari kuwajibika |
Ndugu zetu kutoka Antwerpen nao walishiriki vyema katika shughuli nzima ya dua
| Waungwana wakipata Sadaka |
| Brother Nyambi pia alikuwepo kwenye kisomo cha jana |
| Dida akiwa na watoto wake katika kisomo cha jana |
Ndugu zetu kutoka sehemu mbalimbali walifika Mol kujumuika nasi katika kisomo
Ndugu zetu kutoka sehemu mbalimbali walifika Mol kujumuika nasi katika kisomo
Kila mmoja alijaaliwa kupata sadaka
| Brother Zile kushoto na kijana wake na ndugu yetu pia wakipata sadaka mara baada ya dua |
| Ndugu yetu na mwanawe wakipata kumbukumbu |
| Ndugu zetu wakiendelea kupata sadaka |
| Kada mkuu wa Ukawa nchini Ubelgiji Mussa Mudrik akipata sadaka mara baada ya kisomo |
| Sele rasta mchezaji bora wa mwaka kutoka Liege nae alishiriki dua ya kumrehemu mama wa Ally Mohammed Mlangi iliyofanyika Mol Ubelgiji |
| Wakati wa sadak ulipowadia kila mmoja wetu alionekana hiviii |
| Katika hali ya ushirikiano mwema kwenye shida na raha,hapa unaweza kuwaona ndugu hawa wawili wakipata picha ya pamoja baada ya dua. |
| Mara tu baada ya shughuli ya kisomo kuisha,ndugu Ally Mlangi kulia akionyesha hali ya kumshukuru Allah kwamba dua ilikwenda salama kabisaa. |
| Two Brothers in hood |
| Muda mchache shughuli ya kisomo ilipokwisha kila mmoja alipata muda wa kusalimiana na mwingine,pichani Kamanda wa msitu mnene akibadilishana mawazo na dada zake wa Mol |
1 Comments