Filamu ya Kiswahili iliyotengenezwa na waswahili waishio Holland katika kuendeleza mila,desturi na sifa za Kiswahili popote duniani. Hii ni filamu ya majaribio katika utengenezaji wetu wa filamu, tuna matumaini mtaipokea vizuri na tusameheane kwa mapungufu mtayoyaona