| Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Team Mabadiriko kutoka soko kuu la Kariakoo, Severin Mushi, akizungumza wakati akiutambulisha ujumbe wake kwa Aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, walipokwenye kumuona leo Januari 14, 2016. |
0 Comments