Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa

Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 14, 2016. Kulia kwake ni Makamu wa

Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe

Kassim Majaliwa. Picha na IKULU