MSIKIE Binti Getrude Clement mwenye umri wa miaka 16 kutoka Jijini Mwanza, Tanzania akihutubia hafla maalum ya Mkutano wa Makubaliano ya Paris kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN), New York, Marekani kama mwakilishi mtandao wa wanahabari watoto wa Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani, UNICEF.
Getrude alipata nafasi ya kuwakilisha vijana kutoka ulimwenguni kote alipohutubia Baraza hilo.
Msikie mwenyewe Getrude akihutubia UN.