Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Apr 23, 2016

MOL ALL STARS KUANZA MAZOEZI RASMI LEO

Kikosi cha Mol All Stars

Timu inayoogopeka ukanda mzima wa Ulaya Mol All Stars leo inaanza mazoezi rasmi katika uwanja wake wa ndani wa Mol.Kikosi hiki ambacho takribani miezi 6 kilikuwa mapumziko kutokana na kuipisha hali ya hewa ya baridi kali iliyokuwa imeshika atamu barani ulaya,Akithibitisha uwepo wa mazoezi hayo leo hii Nahodha wa timu hiyo Abdul ameomba wachezaji wote kuwahi klabuni saa kumi na dakika 40 jioni ya leo.Wachezaji wa Mol wametoa tamko kwa vilabu vyote vinavyoijua Mol vijipange vizuri,maana mwaka huu Mol haitapoteza mchezo hata mmoja iwe nyumbani au ugenini.

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP