azam
Kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, kitakachocheza na Esperance ya Tunisia katika mchezo wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex leo saa 9.15 Alasiri.

28 Aishi Manula
6 Erasto Nyoni
26 Wazir Salum
13 Aggrey Morris
5 Pascal Wawa
16 Jean Mugiraneza
29 Michael Bolou
10 Kipre Tchetche
14 Ramadhan Singano
19 John Bocco (C)
17 Farid Mussa
AKIBA
1 Mwadini Ali
12 David Mwantika
23 Himid Mao
18 Frank Domayo
20 Mudathir Yahya
22 Khamis Mcha
11 Didier Kavumbagu