Ligi kuu nchini Uingereza kuendelea tena leo wakati Tottenham Hotspur wakiwakaribisha Manchester United nyumbani kwao,Viwanja vingine vitaendelea kuwaka moto kwa timu pinzani kama vile Liverpool itakapokuwa na kibarua uwanja wao wa nyumbani watakapopambana na timu ya Stoke City huku timu ya Sunderland nayo itakuwa uwanja wa nyumbani ikimenyana na Leicester City.
0 Comments