Bradley Timothy akivuta pumzi ili aweze kuinuka baada ya kula ngumi nzito na kwenda chini kutoka kwa mpinzani wake Manny Pacquiao hapo jana jijini Las Vegas nchini Marekani

OOOOoopss!!! sio sarakasi ni ngumu kali ya Manny Pacquiao  iliyompeleka Bradley Timothy chini katika mpambano wao wa jana usiku jijini Las Vegas Nevada

Piga nikupie ikiendelea kwa mabondia wawili,Manny Pacquiao {kulia} na Bladley Timothy jana Las Vegas,Manny aliibuka mshindi kwa point baada ya kumaliza raundi zote 12.Manny Pacquiao alimshinda mpinzani wake kwa point 116-110