Msafara
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ukielekea
Dodoma kwa barabara kutokea jijini Dar es Salaam leo Aprili 28, 2016

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika
Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma wakati akitokea mjini Dar es Salaam. Kulia ni
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Charles Kitwanga mara baada ya kuwasili katika
Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Kushoto ni Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu.