Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Issa Haji Ussi Gavu kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Riziki Pembe Juma kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Dkt.Khalid Salum Mohammed kuwa Waziri wa Fedha na Mipango katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Balozi Ali Abeid Karume kuwa Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Haroun Ali Suleiman kuwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais katiba ,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora,katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Mohammed Aboud Mohammed kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Mmanga Mjengo Mjawiri kuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Mohammed Ahmed Salum kuwa Naibu Wazi wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Hamad Rashid Mohamed kuwa Waziri wa Kilimo,Mifugo,Maliasili na Uvuvi katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Balozi Amina Salum Ali kuwa Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe, Moudline Castico kuwa Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Mohammed Ahmed Salum kuwa Naibu Wazi wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Said Soud Said kuwa Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Waziri Asiekuwa na Wizara Maalum katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee. Picha na Ikulu
0 Comments