Mshambuliaji machachari wa timu ya Tottenham hotspur akifungua ukurasa kwa timu yake kwa kufunga goli la kwanza kama unavyomuona pichani.

Toby Alderweireld akiunganisha krosi kwa kichwa na kuiandikia timu yake ya Tottenham hotspur bao la 2 dhidi ya Manchester United.Goli la tatu na la ushindi lilifungwa na Erik Lamela dakika ya 76.
Mpaka mwisho wa mchezo Tottenham Hotspur 3-0 Manchester United.
match details :
70'
Dele Alli  
1 - 0
  
72'
Danny Rose  
 
  
74'
  
 
  Matteo Darmian
74'
Toby Alderweireld  
2 - 0
  
76'
Erik Lamela  
3 - 0
  
83'
Kyle Walker  
 
  Memphis Depay
84'
  
 
  Ashley Young
90'
Dele Alli  
 
  
referee :

Mike Dean (England)