Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma kuongoza kikao cha kwanza cha mkutano wa tatu wa Bunge Aprili 19, 2016.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akimwapisha Ritta Kabati kuwa mbunge kwenye Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Aprili 19, 2016.
Spika wa Bunge, Job Ndugai akimwapisha Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mstaafu, Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge kwenye Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bumbuli na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, January Makamba, bungeni mjini Dodoma Aprili 19, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 Comments