Getrude Clement (Kushoto) ni Mwanahabari Mtoto kutoka Jijini
Mwanza ambae pia ni mwanamazingira anaewakilisha kundi la Watoto na Vijana katika Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa UN kutoka Tanzania.



Hivi karibuni alihutubia baraza la UN nchini Marekani na
aliporudi bongo hakupata mapokezi makubwa kama tulivyozoea kuona wawakilishi
wengine wakipata mapokezi ya nguvu watokapo nje ya nchi kuliwakilisha Taifa.
Sasa Getrude kafunguka sana kuhusiana na hilo pamoja na
mambo mengine mengi so msikilize wakati akiongea na BMG!
Bonyeza HAPA Kusikiliza au Bonyeza PLAY Hapo Chini.


Getrude Clement (Kushoto) akizungumza na GB Pazzo @BMG (Kulia)
Tazama HAPA Video