Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

May 22, 2016

MSAADA KWA MTOTO AHMED CHOCHOTE ULICHOJAALIWA KITASAIDIA


Lengo la kuiweka hii video ni kukuonesha jinsi gani mtoto Ahmed anavyopata tabu toka kuzaliwa kwake.Imani yetu kama mwanadamu utaguswa na kumsaidia mtoto huyu,Tafadhali muungwana popote ulipo kwa kiasi chochote kile ulichojaaliwa kitamsaidia mtoto Ahmed.Simu namba 0677 999 567{ Mama wa Mtoto}
TIGO PESA 0657384444
MPESA 0753964451
Akaunti ya Benki namba 066 2135158 BARCLAYS BANK{ Tanzania}

Na kwa  wakazi waliopo nje ya nchi Tutumie Bank ya nchini Nederland ijulikanayo kwa jina la ING BANK
Kupitia Account No. NL75 ING B 008217577 kwa jina la T Ahmed Ali.

Ndugu muungwana popote ulipo mchango wako kiasi chochote kile utakachojaaliwa tunakuomba ili umsaidie mtoto huyu.Tunakuomba pia uusambaze ujumbe huu kadri uwezavyo.
Mungu atakulipa kwa wema wako.
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP