Tarehe 5.5.2016 ni sikukuu ya kupambana na Kansa nchini Ubelgiji,Pichani pikipiki za polisi zikisindikiza mashindano ya baiskeli ya kilometa 1000.Watu wengi wamejitokeza kushiriki mapambano haya dhidi ya kansa.

Washiriki wa mbio za baiskeli wakiwa tayari kuanza mashandano hayo.Mashindano haya hufanyika kila mwaka miji tofautitofauti nchini Ubelgiji.Mwaka huu yamefanyika kitongoji cha Mol.

Kila mtoto leo asubuhi alipeleka maua sehemu maalumu waliyopangiwa kuyaweka,hii ni kuonyesha kwamba wanasapoti kupambana na kansa.

Maganga One Blogger alikuwepo kusapoti upambanaji dhidi ya kansa nchini Ubelgiji.Eddy Murphy wa Ubelgiji pia alikuwepo.