Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

May 20, 2016

TCRA YAWANOA WADAU WA MAWASILIANO KANDA YA ZIWA KABLA YA KUZIMA SIMU BANDIA.

Wadau wa Mawasiliano Kanda ya Ziwa, wakiwa katika picha ya
pamoja katika Semina juu ya utoaji wa elimu juu ya simu bandia (fake) na halali
(orginal) ulioandaliwa na TCRA, kabla ya kusitisha matumizi ya simu bandia
mwezi ujao.Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA), imeendelea
kuwakumbusha watumiaji wa simu za mkononi kuhakiki simu zao kabla mamlaka hiyo
haijazima simu bandia ifikapo Juni 16 mwaka huu.
Soma Zaidi HAPA
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP