Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

May 16, 2016

UONGOZI WA KLABU YA MOL WAMSIMAMISHA JAMAL

Mchezaji Jamal.
Uongozi wa juu wa klabu ya Mol Fc umetangaza kumsimamisha mchezaji  Jamal  kuchezea klabu yake ya Mol mpaka atakapotoa ripoti kamili ya kuhusu kukiuka taratibu za kuichezea Veterani ya Antwerpen bila kupata kibali cha uongozi.Kusimamishwa kwake kuchezea klabu ya Mol kunaanza rasmi leo tarehe 16.05.2016 mpaka Uongozi utakapokutana kuijadili adhabu ya mchezaji huyo.Kufungiwa kwa Jamal kunatoa fundisho kwa baadhi ya timu zinazoshiriki mashndano kutotumia wachezaji ambao sio wao kuchezea vilabu vyao.
Taarifa hii imetolewa na Uongozi wa klabu ya Mol.

Share this article :

1 Maoni:

Muharami Nyambi said...

HUYO KAJA KUCHEZEA TIMU YAKE YA TAIFA NA ATA FIFA INATAMBUA KWA HIYO KUFUNGIWA KWAKE HAKUKUBALIKI.

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP