Mchezaji Jamal.
Uongozi wa juu wa klabu ya Mol Fc umetangaza kumsimamisha mchezaji  Jamal  kuchezea klabu yake ya Mol mpaka atakapotoa ripoti kamili ya kuhusu kukiuka taratibu za kuichezea Veterani ya Antwerpen bila kupata kibali cha uongozi.Kusimamishwa kwake kuchezea klabu ya Mol kunaanza rasmi leo tarehe 16.05.2016 mpaka Uongozi utakapokutana kuijadili adhabu ya mchezaji huyo.Kufungiwa kwa Jamal kunatoa fundisho kwa baadhi ya timu zinazoshiriki mashndano kutotumia wachezaji ambao sio wao kuchezea vilabu vyao.
Taarifa hii imetolewa na Uongozi wa klabu ya Mol.