| Mchezaji wa zamani wa kimataifa wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars,Kassim Manara akiwa na mjukuu wake katika sherehe ya kuzaliwa kwa Birgit ambaye ametimiza mwaka 1. |
| Waungwana wakiendelea kupata vinywaji katika sherehe ya mtoto Birgit |
| Vijana kutoka kila mahala walikuwepo katika sherehe za kuzaliwa kwa Birgit |
| Waungwana wkiendelea kupata maakuli |
| Kwa upande wa kina mama nao wakipata maakuli |
| Watu katika ubora wao |
| Rama na wenzake |
| Brother Joseph akihakikisha BBQ iko vizuri |
| Maganga One Blogger akiwa na vijana wa Oostende na Shekh Yusuf wa Mol |
| Shekh Yusuf wa Mol akiwa na vijana wa Antwerpen |
| Blogger Maganga One akimpongeza Joseph kwa kufanikisha shughuli ya mtoto wake salama. |
0 Comments