KIKOSI CHA MOL

Kikosi kinachoogopwa barani ulaya ambacho kimekuwa kigumu kutoka nje ya uwanja wake leo kwa mara ya kwanza kitacheza uwanja wa nje na nyumbani.Mol leo inaifuata timu ya Antwerpen katika uwanja wa SPORTHAL WILRIJKSPLEIN jijini Antwerpen.Mol ambayo imejihakikishia ushindi wa pointi 3 leo hii kwa kujiamini zaidi pale ilipopeleka salamu kwa wapinzani wake hao wa Antwerpen.

Salamu nyingine za Mol kwa Antwerpen ni kwamba Mol imeomba mchezo mzuri,Nidhamu,Kuchezesha wachezaji halali wa Antwerpen na sivinginevyo.Mol inawataka wachezaji na mashabiki wa Antwerpen waje kwa wingi kwani mchezo wa leo utakuwa ni salam za mwezi mtukufu wa Ramadhani..