ASSALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATU
MSIBA TUMEFIWA NA MWANAFUNZI WETU ! BI.SALAMA BINT JUMA NYAMBI
Madrasat Rahman iliyopo Segerea mwisho,Dar tunasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi wetu marehem Bi.Salama Bint Juma Nyambi (pichani mwenye gauni la bluu na mtandio mweupe) msiba upo Segerea mwisho kwenye mtaa wenye madrasat Rahman,maziko Jumamosi 18.7.2016
Allah amlaze mahala pema peponi- Amiin
0 Comments