Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jun 24, 2016

Wanajeshi wa Sudan Kusini waiba chakula

Wanajeshi wa Sudan Kusini waliokuwa wenye njaa wameiba chakula kutoka kwa mfanyibaishara mmoja katika moja ya masoko makuu kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Juba.

Wakati mfanyibiashara huyo katika soko la Konyo Konyo aliwataka wanajeshi hao walipie chakula hicho, walimjibu na kumuambia aende kwa Rais Salva Kiir kudai pesa zake kwa sababu hawajalipwa mishara kwa miezi kadha.
Wafanyibiashara wengine walifunga maduka yao ili wanajeshi hao wasije nao wakawaibie.

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP