Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jul 25, 2016

Kuondoka kwa Uingereza kutoka EU kumeathiri uchumi duniani

Mkutano wa mawaziri wa fedha wa mataifa ya G20, umemalizika nchini China, huku onyo likitolewa kuwa, kura ya maoni iliyoifanya Uingereza kujiondoa ndani ya muungano wa mataifa ya Bara Ulaya, imesababisha hatari kubwa zaidi na kuyumbisha uchumi wa Dunia.

Mkutano huo wa G20 umesema kwamba kuna hatari kubwa kuwa, mazungumzo kuhusiana na hatua hiyo ya Uingereza yakaibua uchungu mwingi.
Lakini viongozi hao wakasema kuwa EU imejiandaa ipasavyo kushughulikia tatizo hilo huku wakisema kuwa wana matumaini makubwa kuwa Uingereza sharti iendelee kuwa mshirika mkubwa wa EU.

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP