Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jul 21, 2016

Mfalme Costa Siboka atambulisha wimbo wake mpya wa Kisukuma " Onene nekazi" (Mimi na kazi)

Gwiji wa ngoma za utamaduni Mfalme Costa Siboka akitambulisha wimbo wake mpya wa Kisukuma " Onene nekazi" (Mimi na kazi) kwa maelfu ya wakazi wa Misasi nje kidogo ya Jiji la Mwanza waliojitokeza katika Promosheni ya Vuna zawadi ya Baiskeli na Guta kwenye shangwe za Ngoma ya Balimi msimu wa mavuno kanda ya ziwa. Jumamosi hii atapagawisha Wakazi wa Nyehunge Mnadani Sengerema. Siboka ameambatana na kundi lake wakitokea  jijini Dar es Salaam. 

 Mfalme Costa Siboka akitambulisha wimbo wake mpya wa Kisukuma " Onene nekazi" (Mimi na kazi) 

Mfalme Costa Siboka jukwaani na kundi lake

Mfalme Costa Siboka akitambulisha wimbo wake mpya wa Kisukuma " Onene nekazi" (Mimi na kazi) 

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP