WAREMBO
WANAOWANIA SHINDANO YA MISS TANGA 2016 USIPIME SASA KUFANYIKA IJUMAA
MJINI TANGA
Warembo wanaowania Taji la Mrembo wa
Mkoa wa Tanga (Miss Tanga 2016) wakiwa kwenye pozi katika hotel ya Tanga
Beach Resort kutakapofanyika shindano hilo Ijumaa Kesho.
Warembo hao wakiwa kwenye picha ya pozi |
Mratibu wa Shindano ya Miss Tanga 2016,Mboni Muya akizungumza na waandishi wa Habari leo kuhusiana na maandalizi ya kuelekea shindano hilo |
Warembo hao wakimsikiliza Mratibu wa Shindano ya Miss Sinza 2016 ambaye aliitembelea kambi hiyo leo |
Mdau wa Tasnia ya Urembo hapa
nchini,Benny Kisaka akitoa nasaha kwa warembo wanaotarajiwa kushiriki
kinyang'anyiro cha kumtafuta Mlimbwende wa Mkoa wa Tanga (Miss Tanga
2016 )itakayofanyika Ijumaa kesho kwenye Ukumbi wa Hotel ya Tanga Beach
Resort.
Mdau wa Tasnia ya Urembo hapa
nchini,Benny Kisaka akisisitiza jambo wakati akizungumza na warembo
wanaotarajiwa kushiriki shindano la kumtafuta Mlimbwende wa Mkoa wa
Tanga Ijumaa
0 Comments