Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jul 5, 2016

RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA ZANZIBAR


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya Unguja na Pemba,alipowakumbusha  majukumu yao na kuwataka wafanye  kazi sheria na taratibi kwa kazi iliyopo sio kufanya kazi kwa mazoea, aliyasema hayo leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya Unguja na Pemba

 Washauri wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakiwa katika mkutano uliofanywa  na Rais kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar ambao mkutano huo umewataka  wakuu hao kutekeleza majukumu yao kama sheria za Utumishi zinavyoeleza na sio kufanya kazi kwa  mazoea

Baadhi ya Wakuu wa Wilaya za Unguja na Pemba wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kwa ajili ya kukumbushwa majukumu yao katika  maeneo yao kazi. Picha na Ikulu.

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP