Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jul 23, 2016

Takriban 70 wauawa na mafuriko China

Mvua kubwa imesababisha vifo vya takriban watu 70 nchini China na kuwalazimu mamia ya wengine kuhama makwao.
Maelfu ya nyumba nzo zimeporomoka. Viwango vya maji katika bwagwa kubwa zaidi nchini humo vimepanda na kufikia mita 164.
Mikoa ya Hubei, Liaoning, Hebei na Henan yote imeathirika vibaya na hali hiyo mbaya ya hewa.

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP