Rais wa Uturuki Recep Tyyip Erdogan, amehutubia mkutano wa watu zaidi ya milioni moja baada ya jaribio la mapinduzi kushindwa mwezi uliopita.
viongozi wawili wa upinzani pamoja na mkuu wa majeshi waliungana katika mkutano huo kama ishara ya umoja.

Rais Erdogan amewaambia watu mjini Istanbul kuwa atapitisha sheria ya kifo kama italetwa tena na bunge la nchi hiyo.
Image captionRais Erdogan amewaambia watu mjini Istanbul kuwa atapitisha sheria ya kifo kama italetwa tena na bunge la nchi hiyo.

Rais Erdogan amewaambia watu mjini Istanbul kuwa atapitisha sheria ya kifo kama italetwa tena na bunge la nchi hiyo.
Ujerumani imetoa onyo kwa Uturuki kama itapitisha sheria hiyo basi matumani ya yake ya kujiunga na umoja wa ulaya yataisha.

Jeshi tiifu kwa Rais Erdogan lilifanikiwa kuzima jaribio la mapinduzi mwezi mmoja uliopita
Image captionJeshi tiifu kwa Rais Erdogan lilifanikiwa kuzima jaribio la mapinduzi mwezi mmoja uliopita

Rais Erdogan amesema nchi hiyo itaondokana na wafuasi wote wa mhubiri wa kimarekani Fethullah Gulen, mhubiri huyo amekataa kuhusika na jaribio la mapinduzi.