Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Aug 26, 2016

Waokoaji waendeleza kasi kuokoa maisha ya watu Italia

Timu ya waokoaji katikati ya Italia inajitahidi kuendelea kuokoa maisha ya watu ambao bado wako hai kufuatia tetemeko la Ardhi lililoathiri miji mitatu na kuua watu zaidi ya 250.
Mamia ya wengine wamejeruhiwa.
Upekuzi ambao umefanywa kwa siku mbili unakwamishwa na mishindo yenye nguvu.

Uharibifu mkubwa umetokea
Image captionUharibifu mkubwa umetokea

Mshindo mkubwa ni ule uliotokea katika mji wa Amatrice ambapo waokoaji walikimbia kutokana na kuangukiwa na uchafu.

Mtoto aliyefukuliwa kwenye kifusi akiwa hai
Image captionMtoto aliyefukuliwa kwenye kifusi akiwa hai

Serikali ya Italia imetangaza hali ya hatari kwa maeneo yaliyokubwa na tetemeko la ardhi na kutangaza kutoa euro milioni hamsini kutoka mfuko wa dharura.

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP