Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Aug 31, 2016

Wizara ya Fedha yapata Katibu Mkuu mpya


Doto James
Rais Dkt. John Magufuli amemteua, Doto James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango.
Taarifa ya Ikulu jijini Dar es Salaam imesema kabla ya uteuzi huo Doto James alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera).

Doto James ataapishwa Septemba Mosi, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo kufuatia uteuzi huo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile atapangiwa kazi nyingine.
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP