katika vijiji vya Kasebebena na Matete kilometa 30 kutoka mji wa Namoya katika nchi ya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Kulingana na gazeti la Mwananchi nchini Tanzania,Mmiliki wa kampuni ya Simba Logistics inayomiliki magari 10 kati ya yaliyopata kadhia hiyo,
Azim Dewji amesema magari yake manne yameteketea kabisa na mengine sita yameungua

Chapisho la mtandao wa Twitter wa msemaji wa serikali ya TanzaniaImage copyrightTWITTER
Image captionChapisho la mtandao wa Twitter wa msemaji wa serikali ya Tanzania

kidogo huku magari mengine matatu kutoka Kenya nayo yakiteketea kabisa.
Gazeti hilo linadai kuwa,Dewji amesema madereva wa magari hayo walitekwa huku wakipewa sharti la
kutaka majeshi ya Tanzania yaliyo katika ulinzi wa amani nchini humo yaondoke ili
wawaachilie.

Chapisho la mtandao wa Twitter wa msemaji wa serikali ya TanzaniaImage copyrightTWITTER
Image captionChapisho la mtandao wa Twitter wa msemaji wa serikali ya Tanzania

Mwananchi linasema kuwa ,hata hivyo taarifa ya Chama cha Wamiliki wa Malori Tanzania (Tatoa) iliyopatikana kupitia
mitandao ya jamii ilisema madereva wawili kati yao walitoroka, huku kikiwataka madereva
wengine kutoelekea nchini humo