Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Sep 12, 2016

MKOA WA SINGIDA WAPATWA NA KISHINDO CHA BURUDANI


Msanii Ben Pol
akiwa jukwaani  kuwapagawisha   wakazi   wa   Singida   kwenye  tamasha la Tigo Fiesta
lililofanyika  uwanja wa  Namfua  usiku  wa  kuamkia     jana.
Dj D Ommy akiwa katika kuhakikisha kuwa kila burudani inayotolewa na wasanii inakuwa katika utaratibu maalum katika usiku wa Tamasha la Tigo Fiesta mkoani Singida katika viwanja vya Namfua usiku wa jana.
FID Q akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta mkoani Singida katika viwanja vya Namfua usiku wa jana


JUX akiwaburudisha wapenzi wa muziki waliojitokeza kwa wingi katika viwanja vya Namfua mkoani Singida wakati wa  tamasha la Tigo Fiesta usiku wa jana
Niki wa pili akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana Mkoani Singida 
Malkia wa Uswazi Snura akiwa na madancer wake katika kuwapagawisha wakazi wa Singida katika usiku wa Tigo Fiesta usiku wa jana katika viwanja vya Namfua 
Maelfu ya wakazi wa SIngida waliojitokeza kwa wingi kushuhudia Tamasha kubwa la burudani Tigo Fiesta lilifanyika katika viwanja vya Namfua mkoani humo usiku wa jana.
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP