Bwana harusi ndugu Imran mwenye joho la blu akimpa mkono walii ambaye kwa niaba ya familia ya bi harusi ndiye aliyepewa jukumu la kumuozesha bi harusi.Katikati ni shekh Hassan ambaye kuwa muozeshaji wa ndoa hiyo.
Mashuhuda kwa upande wa kiume nao walikuwepo kushuhudia ndoa ikifungwa

Bwana Imran akiweka mkono wake juu ya kichwa cha mkewe na kuiombea dua ndoa yao ili iweze kuwa ndoa ya heri na amani ndani yake inshallah,Pembeni ya bwana harusi ni shekh Yusuf 

Bwana na bibi harusi wakipata picha za kumbulumbu na baadhi ya watu waliohudhuria ndoa yao hapo jana

Wageni waalikwa,ndugu,jamaa na marafiki wakipata picha za kumbukumbu na maharusi hapo jana

Mr n' Mrs Imran wakiendelea kupata picha na watu wao wa karibu

Mr Imran na Mrs Khadija Imran wakipata picha ya kumbukumbu yao..