Kushoto ni Kaimu Meneja wa
Bandari ya Tanga,Henry Arika akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella wa kwanza kulia aliyekaa kwenye boti wakati
alipofanya ziara ya kuitembelea bandari hiyo
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,MartineBandari ya Tanga,Henry Arika akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella wa kwanza kulia aliyekaa kwenye boti wakati
alipofanya ziara ya kuitembelea bandari hiyo
Shigella wa kwanza kulia akitazama maeneo ya bahari akiwa kwenye boti
wakati alipoitembelea kuona namna ya utendaji wao katikati ni Katibu
Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi na kushoto ni Kaimu Meneja
wa Bandari wa Tanga Henry Arika
Kaimu Meneja wa Bandari ya
Tanga,Henry Arika wa pili kutoka kulia akisisitiza jambo kwa Mkuu wa
Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wa pili kutoka kulia wakati alipofanya
ziara ya kuitembelea Bandari hiyo kuona namna inayofanya kazi kwa
ufanisi,
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akipanda ngazi kuelekea kwenye meli iliyotinga nanga baharini wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella juzi kuona namna inavyofanya kazi zake |
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akipanda ngazi kuelekea kwenye meli ya mizigo iliyotia nanga bandari ya Tanga wakati wa ziara yake ya kuitembelea Bandari hiyo |
Katibu Tawala wa Mkoa wa
Tanga,Mhandisi Zena Saidi akipanda ngazi kuelekea kwenye meli hiyo
akifuatiwa na Katibu Tawala wa wilaya ya Tanga,Faidha Salim wakati wa
ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella
Kaimu Meneja wa Bandari wa Tanga
Henry Arika akipanda ngazi kuelekea kwenye meli ya mizigo iliyotia nanga
kwenye bandari ya Tanga wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella kuitembelea Bandari hiyo kuona shughuli zake
anayefuatia ni PRO wa Bandari ya Tanga,Moni Jarufu
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine
Shigella katikati akiteta jambo na PRO wa Mamlaka ya Bandari ya
Tanga,Moni Jarufu wakati wa ziara yake
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine
Shigella wa kwanza kushoto akionyeshwa kitu na Katibu Tawala wa Mkoa wa
Tanga,(Ras) Mhandisi Zena Saidi wakati wa ziara yake ya kuitembelea
Bandari hiyo jana
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine
Shigella kushoto katikati ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi
Zena Saidi wakiteta jambo wakati wa ziara ya mkuu wa mkoa kuitembelea
Bandari hiyo kuona namna inayofanya kazi zake kulia ni PRO wa Bandari ya
Tanga,Moni Jarufu
Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella akiwa ni Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry
Arika kushoto wa kwaza kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi
Zena Saidi na wa kwanza kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias
Mwilapwa wakifurahia jambo wakati wakiwa kwenye ziara ya kuitembelea
Bandari ya Tanga
Habari kwa Hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha Blog
0 Comments