Mkuu wa wilaya Kigoma Samson Anga (wa pili kulia) akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Karuta Manispaa ya Kigoma Ujiji baada ya kupokea madawati 185 kutoka kwa kampuni ya simu ya mkononi ya tigo yaliyotolewa kwa shule tano za msingi mkoani Kigoma. |
0 Comments