WAZIRI
MBARAWA AZINDUA GATI JIPYA PANGANI MKOANI TANGA LILILOGHARIMU ZAIDI YA
BILIONI 3
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na
Mawasiliano,Proffesa Makame Mbarawa akizundua gati jipya la Bandari ya
Pangani ambalo liligharimu zaidi ya bilioni 3 kulia ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano wa mwisho kulia ni Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA)Karim Mattaka kushoto
ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella
Kulia ni Waziri waMawasiliano,Proffesa Makame Mbarawa akizundua gati jipya la Bandari ya
Pangani ambalo liligharimu zaidi ya bilioni 3 kulia ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano wa mwisho kulia ni Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA)Karim Mattaka kushoto
ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella
Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Proffessa Makame Mbarawa akiteta jambo na
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)Karim Mattaka
wapili kutoka kulia wakati wa uzinduzi wa gati jipya wilayani Pangani
katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella kulia ni Kaimu Meneja
wa Bandari ya Tanga,Henry Arika akifuatilia mazungumzo
hayo
Viongozi waliokaa meza mkuu wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakiendelea wakati wa uzinduzi wa Gati Jipya wilayani Pangani |
Tawala wa Mkoa wa Tanga (RAS) Mhandisi Zena Saidi na Mbunge wa Jimbo la
Pangani (CCM),Jumaa Aweso wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa Gati jipya
wilayani Pangani
Viongozi mbalimbali wa
Halmashauri ya wilaya ya Pangani na mkoaani Tanga wakifuatilia
uzinduzi wa Gati jipya
Baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Bandari Mkoani Tanga wakifuatiliaa uzinduzi huo kutoka kulia ni PRO wa Mamlaka hiyo,Moni Jarufu kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga,Daudi Mayeji |
Baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani wakifuatilia uzinduzi wa Gati hiyo |
Mawasiliano,Proffessa Makame Mbarawa akisalimiana na wananchi wilayani
Pangani mara baada ya kuzindua gati jipya
Mawasiliano,Proffessa Makame Mbarawa akiwa na viongozi mbalimbali
akisoma maelekezo yaliyoandikiwa kwenye jiwe la msingi mara baada ya
kufanya kuzindua gati jipya la Bandari wilayani Pangani kushoto ni
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Karim Mattaka
kulia ni Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry Arika,Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella na PRO wa Mamlaka ya Bandari ya Tanga,Moni
Jarufu.
0 Comments