Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Oct 10, 2016

DC MUHEZA AWATAKA WAZEE KUWAFICHUA VIJANA WANAOHARIBU MAISHA YA WANAFUNZI WANAOSOMA.

DC MUHEZA AWATAKA WAZEE KUWAFICHUA VIJANA WANAOHARIBU MAISHA YA WANAFUNZI WANAOSOMA.


 Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza katika mdahalo wa siku
ya wazee kiwilaya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri kulia ni
Mwenyekiti wa Chama cha Wazee Muheza
Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza (DAS) akizungumza neno kwenye kwenye mkutano huo
Mwenyekiti wa Halmasahuri ya wilaya ya Muheza akizungumza
 Afisa Ustawi wa Jamii na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri akizungumza kwenye kikao hicho.
 Mwenyekiti wa Chama cha Wazee
wilayani Muheza (UWAWAMU) Seif Athumani akizungumza kushoto ni Mkuu wa
wilaya ya Muheza,Hajati,Mhandisi Mwanasha Tumbo akifuatilia kulia ni
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muheza,
baadhi ya Wazee wilayani Muheza wakimsikiliza kwa umakini Mkuu wa wilaya hiyo,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo.
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi Mwanasha Tumbo
kushoto akigawa zawadi ya sabuni kwa mmoja kati ya wazee wilayani humo
wakati wa siku ya wazee dunia kiwilaya iliyofanyika kwenye ukumbi wa
Halmashauri wilayani humo

Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi
Mwanasha Tumbo kushoto akigawa zawadi ya sabuni kwa mmoja kati ya wazee
wilayani humo wakati wa siku ya wazee dunia kiwilaya iliyofanyika kwenye
ukumbi wa Halmashauri wilayani humo

Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi
Mwanasha Tumbo kushoto akigawa zawadi ya sabuni kwa mmoja kati ya wazee
wilayani humo wakati wa siku ya wazee dunia kiwilaya iliyofanyika kwenye
ukumbi wa Halmashauri wilayani humo

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP