Habari njema kwa wakazi wa Ubelgiji na Uholanzi kwamba kuanzia sasa utaweza kusafirisha kifurushi chako kwenda Tanzania kwa gharama nafuu kabisaa.Je ulikuwa na mzigo ambao unahitaji ufike Tanzania ukiwa salama na kwa bei nafuu?? Jibu sahihi sasa limepatikana na hakuna usumbufu wowote.Funga kifurushi chako vizuri na wasiliana na wakala wako ambaye atakupa maelekezo vizuri kabisa.Kwa maelezo zaidi wasiliana na Doreen kwa whatsapp namba +32 483029138 au Wasiliana na Fausta kwa namba +32 499414175..
 Jiandae sasa kwa kuweka vizuri vifurushi vyako  kwani mzigo unaondoka mwishoni mwa mwezi November.Tunakuhakikishia usalama wa mali zako na kuufikisha kwa wakati..Kumbuka tu kwamba bei zetu ni nafuu sana.Ukiliona tangazo hili tafadhali mshirikishe na mwenzio.