Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Rosemary Staki amezindua
shughuli ya kupanda miti maeneo oevu/ kwenye vyanzo vya Maji katika Kata
ya Bwambo. Zoezi hilo limefanyika kwa ushirikiano na shirika lisilo la
kiserikali la Floresta.