Kapteni na mshambuliaji wa timu Manchester United Wayne Rooney akifungua ukurasa wa goli la kuongoza dhidi ya timu ya Feyenoord.Manchester ilishinda goli 4-0
Jana ilikuwa siku nzuri kwa timu ya Manchester United baada ya kumaliza hasira zake kwa timu ya Feyenoord kwa kuifunga goli 4-0

Mshambuliaji wa Manchester United Ibrahimovic akishangilia goli baada ya golikipa wa Feyenoord kujifunga mwenyewe.Manchester United jana ilifanikiwa kuifunga Feyenoord jumla ya goli 4-0 katika Europa League