Kaimu Mkurugenzi Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini(TPDC) Mhandisi
Kapulya Musomba akizungumza na waandishi wa habari kukanushaTaarifa
zinazoenezwa na kampuni ya Dangote pamoja na washirika wake kupitia mitandao ya
Kijamii na vyombo vya Habari kuhusu kushindwa kukiuzia gesi asilia kwa bei rahisi
kiwanda hicho.Kulia kwake ni Kaimu Kamishana wa Madini Mhandisi John Shija,Kaimu
Meneja manunuzi TPDC Bw.Donal Aponde na Meneja Mawasiliano wa TPDC Bi.Maria
Msellemu.